Rapper kutoka kundi la
Watengwa lililopo
A-City, JCB ambae hivi karibuni ametoka kuachia track yake inayokwenda kwa jina la
Niende Wapi akiwa ameshirikiana na
Domokaya amevuta jiko hivi karibuni...
JCB sasa ameuacha
u-bachelor rasmi baada ya kufunga ndoa rasmi siku ya jumatano ya
Tarehe 20 mwezi huu.
Ndoa hii imeonekana kuwa ni ya kimya kimya sana maana sio watu wengi waliokuwa wakijua juu ya tukio hilo.
Hizi ni baadhi ya picha za kwenye harusi hiyo...
No comments:
Post a Comment
Tupia Maoni yako hapa