Sunday, April 7, 2013

PARTY YA WELCOME BACK KAJALA ILIKUA HIVI NDANI YA AMBASSADOR LOUNGE"




Usiku wa kuamkia leo maeneo ya Ambassador LoungeKajala alifanyiwa bonge la welcome back party. Party hiyo ilihusisha mastar na mashabiki wake binafsi ambao wengi hawajawai kumuona tangu atoke Segerea.
Hizi ni baadhi za picha.















 
 
Shukrani  kwa DJ FETTY 

No comments:

widgets

SPORTS NEWS