Sunday, April 21, 2013

Lady Jaydee Kuibuka Tena na Jipya na Kudai Mungu Sio Ruge Wala Chakusaga


Baada ya mafumbo mengi na vijembe huko twitter na bbm hatimaye mwandana komandoo na super star Lady Jay Dee ameamua kufungua na kutaja majina ya hao watu wenye beef nae kupitia ukurasa wake wa twitter. Jide amefungua na ku-update yafuatayo
Dah naskia jana kwenya interview yake na TBC alimchana Ruge 
live, tunajaribu kuifuatilai interview hiyo na tutawaletea hapa live kila kitu alicho kiongela super star huyo. Stay tuned!

No comments:

widgets

SPORTS NEWS