Je Man United itawika bila RVP?
"itakuwa
pigo kubwa kwa Man United ikiwa Robin van Persie hatashinda, lakini
jambo kuu ni kuwa ni suala la wachezaji wote kwa pamoja'' Fortune,
aliliambia BBC.
" Naamini ni wakati wa Manchester United. Wachezaji wake kwa sasa wana hamu ya kushinda'' Alisema mchezaji huyo wa zamani.
Van Persie amefunga jumla ya magoli 23 katika
msimu wake wa kwanza na United katika ligi kuu zikiwemo tatu katika
michuano ya kuwania kombe la klabu bingwa barani Ulaya.
Hata hivyo United ilipata pigo pale, Van Persie alipopata jeraha na kiuno wakati wa mechi ya na QPR siku ya Jumamosi, mechi ambayo walishinda kwa mabao mawili kwa bila.
Huenda mchezaji huyo asijumuishwe katika mechi yao ya siku ya jumamosi dhidi ya Norwich, ili kuumpa nafasi zaidi ya kupona, lakini kocha wake Sir Alex Ferguson, anatarajia kuwa atakuwa tayari kwa mechi hiyo dhidi ya mabingwa wa Uhispania.
Phil Jones, ambaye alionyesha mchezo mzuri katika safu ya ulinzi wakati wa mechi ya raundi ya kwanza, vile vile anauguza jeraha na mguu.
Fortune ameongeza kuwa mchezaji mwingine ambaye anaendelea kuimarika na ambaye anaendelea kujikita kama mchezaji wa kutegemewa katika kikosi hicho cha Manchester United ni Michael Carrick.
Aliyekuwa mcheza kiungo wa
Manchester United Quinton Fortune, ana matumaini makubwa kuwa klabu yake
ya zamani inaweza kuishinda Real Madrid hata bila kuwepo kwa nyota wake
Robin van Persie.
Van Persie kwa sasa anauguza jeraha la kiuno,
lakini anatarajiwa kuwa sawa wakati wa mechi ya marudiano katika uwanja
wa Old Trafford, ambayo Manchester United ni sharti ishinde baada ya
kutoka sare ya kufungana bao moja kwa moja katika mechi yao ya raundi ya
kwanza." Naamini ni wakati wa Manchester United. Wachezaji wake kwa sasa wana hamu ya kushinda'' Alisema mchezaji huyo wa zamani.
Hata hivyo United ilipata pigo pale, Van Persie alipopata jeraha na kiuno wakati wa mechi ya na QPR siku ya Jumamosi, mechi ambayo walishinda kwa mabao mawili kwa bila.
Huenda mchezaji huyo asijumuishwe katika mechi yao ya siku ya jumamosi dhidi ya Norwich, ili kuumpa nafasi zaidi ya kupona, lakini kocha wake Sir Alex Ferguson, anatarajia kuwa atakuwa tayari kwa mechi hiyo dhidi ya mabingwa wa Uhispania.
Phil Jones, ambaye alionyesha mchezo mzuri katika safu ya ulinzi wakati wa mechi ya raundi ya kwanza, vile vile anauguza jeraha na mguu.
Fortune ameongeza kuwa mchezaji mwingine ambaye anaendelea kuimarika na ambaye anaendelea kujikita kama mchezaji wa kutegemewa katika kikosi hicho cha Manchester United ni Michael Carrick.
No comments:
Post a Comment