KWA HII VIDEO MPYA YA SHAA, NI HALALI AKIMILIKI HEADLINES!
Kwa jitihada hizi, ubunifu huu na nguvu hizi… imani kubwa ni hii video siku chache zijazo kuonekana kwenye vioo vikubwa vyenye mamilioni ya watazamaji Afrika kama Channel O, MTV BASE, TRACE na hata Sound City ya Nigeria ambayo imekua ikipiga video za Ay akiwa ni mtanzania pekee.
Chukua time yako kuitazama pia video na behind the scenes chini yake.
.
.
No comments:
Post a Comment